Twende

Maps & Navigation
  • 0.00
(0 投票)

無料インストール

50000

アプリのインストール

Android 5.0+

最小バージョン

広告付き

広告

30.01.2019

リリース日

最近の変更:

Maboresho

説明:

Omba usafiri upate dereva ndani ya dakika chache kupitia Twende. Tunakupa chaguo la usafiri wa aina tatu, taxi, Bajaj au Bodaboda, yoyote inayokidhi haja yako.
1. Pakua 'Twende' bure, kisha jisajili kwa gmail
2. Twende ina uwezo wa kutambua eneo ulilopo, kazi yako ni kutaja unapotaka kwenda, kisha uanze kuomba usafiri
3. Unaweza kuangalia eneo alilopo dereva na kadri anavyo kukaribia ,utaweza kutulia na kufurahia safari yako!
4. Mwisho wa safari utaweza lipa nauli yako.

Kwa taarifa zaidi tembelea www.twendecabs.com

Twende Technologies 他のアプリ

Twende Dereva

Twende Dereva

Twende Technologies
  • 0.00
Twende

Twende

Twende Technologies
  • 0.00
ダウンロード