Twende Dereva

Twende Technologies

Twende Dereva

Maps & Navigation
  • 0.00
(0 投票)

無料インストール

5000

アプリのインストール

Android 5.0+

最小バージョン

広告付き

広告

21.02.2020

リリース日

説明:

Dereva yeyote aliyesajili Taxi, Bajaj au Bodaboda yake nasi anaweza kutumia kupata abiria kwa ufanisi zaidi
Chagua Twende Dereva Sasa!

1. Pakua 'Twende Dereva' bure, kisha jisajili kwa gmail na chombo chako.
2. Chagua kifurushi chako cha mwezi na fanya malipo kwa mtandao wako.
3. Tutakuweka kwenye ramani kisha utaanza kupokea maombi ya abiria
4.Abiria atalipa nauli kwa fedha taslimu kulingana na muda pamoja na umbali.
5. Thaminisha na toa maoni kuhusu abiria na safari kwa ujumla

Kwa taarifa zaidi tembelea www.twende.co.tz

Twende Technologies 他のアプリ

Twende Dereva

Twende Dereva

Twende Technologies
  • 0.00
Twende

Twende

Twende Technologies
  • 0.00
ダウンロード