MAPISHI | Jifunze Mapishi

OleSoft

MAPISHI | Jifunze Mapishi

Food & Drink
  • 0.00
(0 投票)

無料インストール

10000

アプリのインストール

Android 4.2+

最小バージョン

広告付き

広告

22.10.2019

リリース日

最近の変更:

*Ukweni kumenoga
* Muonekano Mpya
* Jifunze kupika, uwavimbie wakwe
* Jiamini, pata deals za mapishi kwenye mahotel makubwa
* Save Mapishi Unayoyapenda

説明:

Ukweni kumenoga
Jipatie Dondoo na Siri Za Mapishi Tofauti Kutoka Kwa Wapishi Waliobobea Tanzania.
Wafurahishe nyumbani, ndoa na wakwe.
Pata kazi popote kwenye mahotel makubwa, na mshahara mkubwa. Yupo mmoja aliitumia App hii kujifunza mapishi, sasa yupo kwenye hotel kubwa hapa Tanzania na analipwa mshahara mkubwa.
Pakua App ujifunze mapishi, ujiondolee wasiwasi na ujiamini popote uendapo.

App hii ni kwa wote wanaume na wanawake -
Tukutane jikoni.

Jifunze kupika vyakula tofauti kama Chapati, Biryani, Samaki, Cakes na vyakula vingine.

OleSoft 他のアプリ

ダウンロード