Mlishe Jitu (Kiswahili)

Curious Learning

Mlishe Jitu (Kiswahili)

Lernspiele
  • 0.00
(0 Stimmen)

Kostenlose Installation

50000

App-Installationen

Android 4.4W+

Minimalversion

Mit Werbung

Werbung

17.11.2017

Veröffentlichungsdatum

Beschreibung:

Mlishe Jitu humfundisha mwanao misingi ya kusoma . Kusanya mayai ya zimwi na umlishe herufi ili akue na wawe marafiki wapya.

MLISHE JITU NI NINI?
Mlishe Jitu hutumia mbinu zilizo thibitishwa za “ Cheza kujifunza” kuwashirikisha watoto na kuwasaidia watoto kujifunza kusoma , Watoto hufurahia kukusanya na kukuza mazimwi yao ya kufuga huku wakijifunza kanuni za kusoma.

NI BURE KUPAKUA , HAINA MATANGAZO , HAINA MANUNUZI YA NDANI YA APP
Maudhui yote ni bure kwa asilimia 100, imetengenezwa na Literacy nonprofits Curious Learning, CET na App Factory

VIPENGELE VYA MCHEZO AMBAZO HUCHOCHEA UJUZI WA KUSOMA
•Inafurahisha na kushirikisha
•Michezo ya kufuatilia herufi ili kusaidia kusoma na kuandika
•Michezo ya kukalili misamiati
•Michezo ya changamoto za kusikiliza sauti
•Ripoti ya maendeleo kwa mzazi
•Inaweza kuchezwa na zaidi ya mtu mmoja
•Mizimwi inayokusanyika , kukua na kufurahisha
•Imeundwa kukuza stadi za kijamii
•Hamna manunuzi ya ndani ya App
•Hamna matangazo
•Haiitaji maunganishi ya Internet

IMETENGENEZWA NA WATAALAMU KWA AJILI YA MWANAO
Huu mchezo umetokana na miaka ya utafiti na uzoefu katika sayansi ya kusoma na kuandika . Imeundwa na mbinu muhimu katika kusoma na kuandika , pamoja na uelewa wa kifonolojia , utambuzi wa herufi , misamiati na kusoma kwa kuona ili watoto waweje kujijengea msingi imara wa kusoma . Imeunda katika mtazamo wa kuwajali na kuwalea kikundi cha zimwi , imeunda ili kuhamasisha kuwajali watu wengine , uvumilivu na kuwa na mbinu za kijamii kwa watoto.

SISI NI NANI?
Mlishe Jitu imedhaminiwa na wizara ya mambo ya nje ya Norway kama moja ya mikakati ya EduApp4syria-competition . App ya awali ya kiarabu ilitengenezwa kwa ushirikishi kati ya Apps Factory , CET – The Center for Educational Technology na IRC – The International Rescue Committee.

Mlishe Jitui ili badilishwa kwa Kiswahili na Curious Learning , shirika lisilo la kifaida linalojidhatiti katika kueneza upatikani wa maudhui ya kusoma na kuandika kwa ajili ya mtu yeyote atakae ihitaji . Sisi ni timu ya wafanya uchunguzi , waendelezi na wafundishaji tuliojidhatiti kuwapa watoto duniani kote elimu ya kusoma na kuandika katika lugha yao mama kutokana na ushahidi wa data – na tunafanya kazi kuleta Mlishe Jitu App kwa lugha zaidi ya 100.

Curious Learning andere Apps

Herunterladen