Smartpessa: Ajira Ya kimtandao

Gosh Dreamtech

Smartpessa: Ajira Ya kimtandao

Business
  • 0.00
(0 投票)

無料インストール

10

アプリのインストール

Android 5.0+

最小バージョン

広告付き

広告

01.01.1970

リリース日

説明:

Smartpessa ni kampuni Mpya, Iliyosajiliwa Hapa Tanzania na Kupewa Vibali Vyote. Kutokana na Maendeleo ya Teknologia ya kimtandao, Tumeamua kukuletea mfumo wa Kipekee ambao unakuwezesha kunufaika mara mbili zaidi tofauti na mifumo mingine uliyoizoea.Smartpesa imekuletea mfumo wa Bonus maradufu kutokana na Levels maalumu zilizowekwa.

SmartPessa Imekubalika kila Sehemu kutokana na Mfumo wetu bora,Salama na wa Uhakika, Jiunge na Wanachama Wengine Wa SmartPessa ili Tunufaike na Tujifunze Pamoja.

Kuna njia nyingi za kunufaika na Smartpessa kwa
->Angalia Videos
->Shirikisha jamaa na marafiki
->Kujibu Maswali na Surveys
->Na zaidi

Je una tatizo au Maoni Tafadhali Tuandikie kupitia [email protected]. Na iwapo kama unashindwa kutumia Application yetu tuandikie kupitia [email protected].

Gosh Dreamtech 他のアプリ

ダウンロード